![]() |
Hakika Janeth alitokelezea. safi sana |
![]() |
Nice |
![]() |
Hakuna atakayebisha kuwa Janeth alilitendea haki hili gauni lake. Safi sana |
![]() |
Janeth akiwa na Matron wake. |
Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye read more
![]() |
Hakika Catherine alipendeza sana. |
![]() |
Nice |
![]() |
Duuu hakuna atakayebisha kuwa Catherine alilitendea haki gauni lake. Safi sana- Miss Kilimanjaro!!!! |
![]() |
Nice |
![]() |
Catherine akiwa na Matron wake |
![]() |
Safi |
![]() |
Lee Matron |
![]() |
Catherine akiwa na Mume wake mtarajiwa. Safi sana. Mambo yakienda kama yalivyopangwa basi mpaka wiki ijayo watakuwa ni Mr and Mrs |
![]() |
Bestman na Matron. Mpaka nakwenda mitamboni sijajuwa kama bestman na matron wako kikazi au ni full Mr and Mrs |
![]() |
Nice |
![]() |
The team |