GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Saturday, April 9, 2011

Jamani kwa wale wanao penda mambo ya urembo basi haya mambo yanapatikana kwenye duka la Viatuzi lililoko Sea View Ocean Road

kama kuna kivazi au kiatu umekipenda bazi waweza kukipata kwa kupiga hii number +255 715 850 855

Kama kawa picha ni GRM Pro

























































Kwamaelezo zaidi tembelea huku
Kwa maelezo zaidi tembelea huku. Haya mambo yemeletwa na Huyu mdau

5 comments:

  1. Picha za kufa mtu I must say . I just love them all.

    ReplyDelete
  2. jaman sisi wadau wengine tunapiga simu unaambiwa viatu vipo uje ukifika shelf tupu ndio nini sasa????????? nilifunga safari kutoka mwanza nilienda dar kikazi nikaona bora niwasiliane nao kwanza kufika hakuna viatu kabisa.

    ReplyDelete
  3. kweli naungana na mdau hapo juu mimi mwenyewe nilipiga simu wakasema vipo kufika hakuna, waseme ukweli au vipi

    ReplyDelete
  4. kweli hata mimi kuna rafikir yangu alitoka moshi nae tena ana harusi yake june,kaenda nae walimwambia vipo kufika hakuna ok

    ReplyDelete
  5. Wadau hapo juu vitu vipo , nimefungua Mzigo mpya hauna hata wiki mbili kuna viatu vingi sana , mpaka vingine tumeweka chini , 1/04/2011 Mali mpya iliingia dukani. Viatu vya harusi vimejaaa kibao , na kama mtu anataka anatoa oda in advance na analetewa anachotaka . Mdau mwenye harusi june tuwasiliane na sasa tunatuma viatu hadi mkoani mshindwe nyie tu. Karibuni Viatuzi

    ReplyDelete