GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, May 30, 2013

GRM Production. Onja kidogo The Wedding Video of Alexander and Veronica

R.I.P Lambart. Dah Kwa mshtuko mkubwa nimepokea taharifa ya kifo cha rafiki na mdau mkubwa wa GRM Production bwana Lambart.

Lambart enzi za uhai wake. Nakumbuka mwaka huu tu tulifanya harusi yake 12-01-2013 . Sisi tulimpenda ila Mungu kampenda zaidi.

Dah sina chakusema zaidi ya kuiombea familia yake .

Habari nilizozipata ni kwamba Lambart alifariki jumamosi kwa ajali ya gari

Pole sana Bridgite kwa kumpoteza Mume







Lambart na Bridgite siku ya harusi yao 12-01-2013
 Kwa habari zaidi zama hapa

Wednesday, May 29, 2013

The Wedding of Vyuvian and Delphina. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Vyuvian and Delphina. Safi sana hakika walipendeza sana


Nice


Safi sana

                          
 Kwa maswagga zaidi zama hapa

Monday, May 27, 2013

Heineken: UEFA Champions League Live Match Screening. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri. Thanks to Heineken

Safi sana



                                   
                                                           Zama hapa kupata uhondo zaidi

Wednesday, May 22, 2013

Onja kidogo! Maandalizi ya Miss Dar Ciry Center 2013

Muda si Mrefu nitawaletea maswagga ya washiriki wa Miss Dar city center 2013. Jana tulifanya Photoshoot






Washiriki wakitowa swagga na mtaalamu wa mambo ya urembo na vipodozi Rehema. Dada Rehema ndiye aliyewapamba warembo

Kijana wangu akiwa kazini

Nikiwa kazini

Chakula bado kiko jikoni nitakileta soon. Miss Dar City Center itafanyika tarehe 1-6-2013