Safi sana hakika mlipendeza sana |
Nice |
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao |
Nice |
Nimekubali haya maswagga. |
Maharusi wakitandikana pingu |
Mwisho wa kunuku! |
Weekend hi tulivamia jiji la Arusha. |
Nikitowa swagga |
Mazingira ya jiji la Arusha. Hapa ni Stereo hotel Kwa mdau mkubwa wa GRM |
Mta kwa Mta |
Kama kawaida nilikwenda kupata mtura. Simchezo hapa ni ken-garden |
Mtaalamu wa michemsho |
Mtura ukiwa jikoni |
Kweli hi sehemu niliikubali. Pametulia unakula swala huku ukisikia milio ya ndege. Panaitwa Sundance |
Mazingira tulivu |
Ndege walio kuwa wanatuburudisha |
Kaa mkao wakula nitawaletea yaliyojiri Arusha. kwakweli nilikubali |