GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, September 28, 2012

The Wedding of Baraka and Neema. Na beep kidogo tu

Nice



Hakika mlipendeza sana


Nice






Neema Safi sana. Swagga la mama Mwenye nyumba


Maharusi wakiwa na Wasimamizi wao. M Gweba nakuona. Safi sana

Bestman na Matron. Safi sana

M.Gweba. Safi sana










The Girls

Boys








Jamani Mwisho wakunuku. Nawatakia weekend njema

Rehema's Night Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Rehema safi sana Hakika ulipendeza sana


Nice



Hakika Rehema amelitendea haki hili gauni lake. Safi sana


Rehema akiwa na Matron wake

Nice

Matron wa Rehema Safi sana









Nice. Swagga la mama Mwenye Nyumba.

Rehema akiwa na The girls. Safi sana. Jamani hi ni Sendoff tuu. Msije zani ni harusi!




The Girls Hakika Mlipendeza sana

Upendo kwa wazazi





Keki




Rehema akiingia ukumbini








Rehema akimkaribisha mume wake mtarajiwa. Ila sasahivi ni Mr and Mrs

Safi



Mume mtarajiwa wa Rehema akisalimia.

Dah nimependa hii. Rehema alimtandika mume wake mtarajiwa na Ndafu. Safi sana . Hu ni upendo uliotukuka. Safi sana. Sijui ni watu wangapi wakati wa sendoff waliwahi kupewa ndafu au  hata keki.

Mume mtarajiwa wa Rehema akikata ndafu.

Safi

kweli ni Inlove. Dah hata sijui ni watu wangapi wakati wa sendoff yao walipata kiss. Nimekubali. Unakuta siku ya sendoff kwanza mume mtarajiwa anajificha. Anaonekana wakati wa kwenda kupakuwa chakula tuu. Safi sana Rehema kwa kuleta mapinduzi katika  mambo ya sendoff.









Jamani Mwisho wakunuku.