GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, October 27, 2014

R.I.P Dr Kephas Kansolele Ntavi na Pole Sana Dada Dorothy!

R.I.P Dr Kephas Kansolele Ntavi. 

Taarifa fupi tuu ni kwamba leo ndio mazishi ya mpendwa wetu pale katika makaburi ya Kinondoni saa tisa 3:pm. Na Ibada  pamoja na kutoa heshima ya mwisho ni nyumbani kwa marehemu kunduchi Beach kuanzia 9:am. Nyumbani kwa marehemu ni kunduchi beach opp na Chuo cha Jeshi. kabla haujamaliza chuo cha jeshi mkono wako wa kushoto ukishaona Bekari ya kutendeneza mikate, kabla haujaipita kunabarabara ya vumbu imechongwa basi ukishuka nayo kidogo upande wa kushoto ndio  nyumbani kwa Dr Kephas K.N

Mwili wa mpendwa wetu ukiwasili nyumbani kwake hapo jana -Sunday

Mzee wa Tupogo akiimba wimbo maalumu




Mke wa Kephas Dada Dorothy-Dorca catering akilia kwa uchungu baada ya kuona Jeneza lililokuwa na Mwili wa mumeo

Mtoto wa marehemu akilia kwa uchungu. Dah msiba usikie kwa jirani tuu!


Samahani wadau kama nitakuwa nimewaharibia siku yenu ya jumatatu.

Nakumbuka kuna saa mzee alishindwa kupiga kwa sababu Dr Kephas alikuwa anamsaport sana




Pole sana Dada Dorothy. Tuko pamoja








Thursday, October 23, 2014

The Wedding of Barry and Edith. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Barry and Edith walitokelezea. Safi sana

Nice



Wooo I love this Pix
Nice.




The moment

Duu nimekubali hili swagga. Barry umeli remix Safi sana




Hakika Edith alilitendea haki gauni lake la Harusi. Safi sana

Swagga la Mheshimiwa baba mwenye nyumba




Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and Matron


Bestman and Matron wakiwa kifamilia zaidi








Nice





Hapa Nimejikubali! I love this pix



Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more

Tuesday, October 21, 2014

The Wedding of Geofrey and Ruth. Onja kidogo!

Hakika Geofrey and Ruth walipendeza sana. 

Nice


The moment



Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more