![]() |
| Mr and Mrs Constantine Magavilla |
![]() |
| Kweli mmependeza |
![]() |
| Nawatakia maisha mema yenye furaha na upendo daima. |
![]() |
| Safi sana |
![]() |
| Mrs C Magavilla |
![]() |
| Dr Faraja Unatisha. Safi sana |
![]() |
| Kama Obama |
![]() |
| Hili Swagga nimelikubali |
![]() |
| Mr Costantine Magavilla |
![]() |
| Safi sana Dr Rose. |
![]() |
| Best Man |
![]() |
| Bwana Harusi akipondezwa na Dada na Kaka. |
![]() |
| Kaka unatisha na maswagga yako |
![]() |
| Dada J nawewe unatisha. Safi sana |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Dada Rehema nayeye alikuweko. Safi sana |
![]() |
| Maharusi wakiingia kanisani |
![]() |
| Kwaya ikitowa burudani kanisani. |
![]() |
| Sikujuwa kama Jokate unajuwa kuimba namma hii. Nakupa tano |
![]() |
| Dada J Akiimba kwa hisia kali kabisa |
![]() |
| Katika picha nilizopiga hii iko kwenye kumi bora. Safi sana hii inaonyesha jinsigani mmnavyo pendana. Mwenye wivu ajinyonge. |
![]() |
| Dada J akishusha neno |
![]() |
| Costantine akimtandika pingu Dr Faraja Aka Wife |
![]() |
| Dr Faraja nae akimtandika pingu Costantine |
![]() |
| Duh dogo naye yuko fiti kwenye mambo ya Imani. Safi sana |
![]() |
| Naona Bwana harusi akimwambia bibi harusi nanukuu maneno yake ' Nisije nikasikie eti imepotea hapo hatutaelewana. Siunaona ilivyo nzuri na ilivyokupendeza! |
![]() |
| Best man na Matron wakifuatilia ibada kwa makini |
![]() |
| Baba wa Bi Harusi ambaye ni Askofu wa Jimbo la Iringa pia ni Mwanzilishi wa Tumaini University Iringa. Akimpongeza mwanae. |
![]() |
| Bwana Harusi akipata pongezi toka kwa Baba Yake |
![]() |
| Namuona Ester na Victor wakifuatilia Misa kwa umakini kabisa. |
![]() |
| Kama kawaida askofu aliimba wimbo kwa ajili ya maharusi huku akisindikizwa na kwaya. |
![]() |
| Bwana harusi akisine mkataba wa kuishi pamoja huku Dr Faraja akiwa makini kabisa |
![]() |
| Dr Faraja naye akasine mkataba |
![]() |
| Hata Kanisani kulikuwa na burudani ya ngoma. |
![]() |
| Msafara wa Harusi safi sana |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Namimi nikatowa swagga |
![]() |
| Nikitowa swagga na Dr Rose |
![]() |
| Maharusi wakiingia ukumbini |
![]() |
![]() |
| Faraja akipongezwa na marafiki zake. Hapa namuona Rehema na lilian |
![]() |
| Naye alikuweko. Safi sana. |
![]() |
| Hata MD naye alikuweko. Safi sana |
![]() |
| Keki ya harusi |
![]() |
| Mr Walingo naye alikuweko |
![]() |
| Safi sana. inapendeza nawewe ukiwakilisha. |
![]() |
| Maharusi wakikata Keki |
![]() |
| Pia tarehe 26 ilikuwa ni siku yakuzaliwa ya Bwana Harusi. |
![]() |
| Kulikuwa na burudani mbalimbali. |
![]() |
| Ruth na Ester |
![]() |
| Tobias naye alikuweko |
![]() |
| Bwana harusi akilisakata rumba na Papa G Kavishe. |
![]() |
| K.Twisa naye alikuweko |
![]() |
| Simchezo |
![]() |
| Safi sana |
![]() |
| Simchezo |
![]() |
| Taratibu bwana harusi. Alagi Alagi! inaweza leta kesi siku yakwanza! |
![]() |
| Swagga. |
![]() |
| Rehema, Gabriel na wife wake |
![]() |
| Kamati ya Harusi |









































































































