![]() |
| Mwali |
![]() |
| Kibonde akitowa swagga |
![]() |
| Hakuna andunje hata kama nimepewa kazi ya kupiga picha namimi nikajipiga looo! Hakunaga |
![]() |
| Hakika dada ulifanya kazi kubwa sana kufanikisha hi shuhuli. Safi sana |
![]() |
| Dah mpaka sasahivi sizani kama kauosha ule mkono. Safi sana dada ila ni noma hope hawajakuletea kasheshe sana |
![]() |
| Live sijui alipata hisia gani wakati akiwa kalikamata hili kombe. Walinzi wanao linda kombe wenyewe hawalishiki kavukavu! |
![]() |
| Dada akitolewa |
![]() |
| Dah hapa nakumbuka nilikuwa natafakari sijui nilishike!!! |
![]() |
| G akitowa swagga. |
![]() |
| Safi sana . Watachongaje! |
![]() |
| Mze wa RG akitowa swagga |
![]() |
| Samaki samaki hakika leo kutakuwa na full party |
![]() |
| Mr Li Wei from chinese Embassy |
![]() |
| Samaki Samaki |
![]() |
| MD- Stanbic Bank |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Sijui nikimbie nalo! |
![]() |
| Jamani mwisho wakunuku. Picha ni nyingi sana |





























































































































