Hakika ukipata mualiko wa kuja huku ndani ya hili jumba la Heinken daima huta kaa usahau siku hiyo. Kwanza ni full Heinken, nyama choma, usafiri unapewa na garama yake ni free. Haulipi chochote. |
Jamani ukitaka unajihudumia mwenyewe |
Sehemu ya michezo |
Play Station kama kawa |
TV 80 inc kama kawa Uefa Live |
Heineken Mansion kwa nje |
Usafiri wa kuwachukuwa wadau. Unajuwa ukija huku ndani ya jumba kazi ni moja tu kunywa, kula kufurahi. hauna haja yakufikiria utarudi vipi nyumbani ukiwa chicha. unarudishwa na gari hili |
Kwa hapo nimewakubali Heineken |
DJ |
Ukifika tu ndani ya jumba unakaribishwa na hawa wadada alafu unapatiwa heineken Baridiiiiiii |
Wadau wakicheki mpira Live |
Muke ya muzungu (Mange)naye alipata mualiko |
Kama kawa namimi nikatowa swagga |
Karabani. Dah nimeipenda hi picha sana |
Michael Hongera sana Bro huyu jamaa ndio host mwenyewe. au Baba mwenye nyumba |
Nice |
ukija huku pia unapata nafasi ya kujishindia zawadi mbalimbali za heineken. hapa Karabani alijishindia carton ya heineken |
Wadau wakifurahia Heineken. Yani ukija unakabiziwa kindo kimeja Heineken Baridiiiiiiii |
Hi Nijana Wadau wa Chelsea wakishangilia lile goli la ushindi |
Mzuka |
Ruben mwenye T-shirt ya kijani naye alishindwa kuficha hisia zake. Safi sana |
Mzuka |
Nice |
Nimekubali haya maswagga |
Dah kwaleo ngoja niishie hapa tutakutana ndani ya jumba tena |