 |
| Kenneth and Charlotte hongera sana . |
 |
| Hakika walipendeza sana jamani |
 |
| Huwa napenda sana kama maharusi wanakuwa wanajipanga. Ibada ya ndoa ilikuwa saa 11:00 am-12.10 pm kwa hiyo baada ya hapo maharusi walikuwa wanamuda wakutosha wakupiga picha na kujianda kwa ajili ya sherehe ya jioni. Pia wanakuwa na muda wakupumzika. Kweli zile ibada zinazoanzaga saa 4 pm lazima maharusi wachoke sana pia hata muda wa kupiga picha za gardern kunakuwa hakuna kwasababu giza linakuwa limeshaingia. |
 |
| Charlotte alilitendea haki gauni lake la harusi. Safi sana. |
 |
| Swagga la I will always love you |
 |
| Yes nimeipenda hi. Safi sana. Kweli Kenneth and Charlotte walitowa ushirikiano sana wakati wakupigapicha. wakati mwingine unawaambia maharusi hebu rukeni hata juu wanaona kama unawasumbua. |
 |
| Swagga la Baba Mwenyenyumba |
 |
| Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and Matron |
 |
| The Girls |
 |
| Dah walipendeza sana. Rangi ya Pink huwa inakuwa bomba sana. ila itendewe haki kama hawa hapa. Alafu pia wasimamizi wakivaa magauni marefu mimi naona wanapendeza kuliko magauni mafupi. |
Kwa maswagga zaidi zama hapa chini kwenye Read More
 |
| Upendo kwa wazazi |
 |
| Upendo kwa wazazi |
 |
| Nice |
 |
| Upendo kwa kaka |
 |
| Safi |
 |
| Jamani mwisho wakunuku. Chakula bado kiko jikoni |
the most beautiful couple of the year.Jah blessings.
ReplyDeletekwa kweli maharusi wamependeza sana,
ReplyDeleteHongera Mr & Mrs Mungu awabariki sana na hakika bridal party nzima walikuwa wametoka bomba, pia nadhani mpiga picha umefanya kazi nzuri so BIG UP to you too.
Bado mapambo ya ukumbi, VIPI?