GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Sunday, May 29, 2011

Siku Basil na Ivanna walipo join together in holy Matrimony. Nawaonjesha kidogo !

Basil na Ivanna

Safi sana hakika walipendeza sana

Nimelipenda swagga la Ivanna

Basil akimtandika pingu Ivanna

Kamati ya Maandalizi Safi sana


Basil akishow love safi kaka


The First Kiss

Nice

Kama Obama. Safi kaka


Pingu

Mr and Mrs


Pingu walizo Fungana. Safi sana


Maharusi wakionyesha mikataba ya kuishi pamoja mpaka kifo kiwatenganishe




Maharusi wakiwa na wasimamizi wao

Nice
Safi sana




Wednesday, May 25, 2011

Jamani Masuper models wetu wako busy na shule ila weekend hii wamepata dili la tangazo kwahiyo watakuwa mzigoni. Nitawaletea swagga mpya toka kwa Simon na Sasha

Simon na Sasha

Simon


Cheka basi

Kikazi zaidi

Maswagga ya usingizini

Safiiiii

We are looking for a Cameraman



 Cameraman
                If you can be able to, decides how each shot will be captured on film, and determines the various aspects involved in filming a shot. Working closely with the director, makes decisions about lenses and film to be used for each shot, how to frame the shot in the best possible way, which angle to shoot from and how to set up the equipment for a shot. Then send your CV to makupa@grminvestment.com

Tuesday, May 24, 2011

Maza Dinner and Dance.Yaliyojiri kwenye studio inayotembea!

Maza Dah kwakweli ulipendeza sana. Kumbe mganga anajiganga


Nice

Nimekubali Dada










Maza akiwa na walinzi wake. safi sana

Safi sana dumisha mila sio lazima wapambe wavae viatu






Safi sana nimeipenda hi picha





Baba nimekubali hili swagga. Kweli mmependeza





Namuona mama wa 8020. hapa sina cha kusema sijui niseme back to Afica


Hayo macho Mhh! Safi sana




Safi







Safi sana. Wapi E






Safi


Safi sana