David and Millie. Dah nimewakubali. Hakika walipendeza sana |
In Love |
Nice |
Dah nimependa hi picha. Hata rangi ya kucha za Millie kapatia sana. zimeendana na pete pamoja na Koti la bwana harusi. Cheki hiyo mistari ya rangi ya gold. Kweli walijipanga. Safi sana |
Deo alitokelezea na swagga la Kirubani zaidi. safi sana |
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao. |
Safi sana |
Saluteeeeeeee
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more
|
Nimeipenda hi. |
I do |
Swagga Hatarishi |
Nice |
In Love |
Ruka Juuuu |
Keki |
Safi sana. Kweli walijipanga |
Dah jamani kwaleo naomba niishie hapa maswaaga nimengi sana. Nimekumbuka kumbe sijaleta maswaaga ya miss kinondoni. duuuuuuu!!. |