 |
Kenneth and Charlotte hongera sana . |
 |
Hakika walipendeza sana jamani |
 |
Huwa napenda sana kama maharusi wanakuwa wanajipanga. Ibada ya ndoa ilikuwa saa 11:00 am-12.10 pm kwa hiyo baada ya hapo maharusi walikuwa wanamuda wakutosha wakupiga picha na kujianda kwa ajili ya sherehe ya jioni. Pia wanakuwa na muda wakupumzika. Kweli zile ibada zinazoanzaga saa 4 pm lazima maharusi wachoke sana pia hata muda wa kupiga picha za gardern kunakuwa hakuna kwasababu giza linakuwa limeshaingia. |
 |
Charlotte alilitendea haki gauni lake la harusi. Safi sana. |
 |
Swagga la I will always love you |
 |
Yes nimeipenda hi. Safi sana. Kweli Kenneth and Charlotte walitowa ushirikiano sana wakati wakupigapicha. wakati mwingine unawaambia maharusi hebu rukeni hata juu wanaona kama unawasumbua. |
 |
Swagga la Baba Mwenyenyumba |
 |
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and Matron |
 |
The Girls |
 |
Dah walipendeza sana. Rangi ya Pink huwa inakuwa bomba sana. ila itendewe haki kama hawa hapa. Alafu pia wasimamizi wakivaa magauni marefu mimi naona wanapendeza kuliko magauni mafupi. |
Kwa maswagga zaidi zama hapa chini kwenye Read More