GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, September 30, 2015

The Wedding of Adam & Julieth. Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Adam na Julieth walitokelezea. 


Safi

Hakika Julieth alilitendea haki gauni lake
Nice



Swagga la pingu


Swagga la baba Mwenye nyumba
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman & Matron

The Team
The First Kiss



The Boys





The Girls


Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more

Tuesday, September 29, 2015

Yaliyojiri Weekend hii. The Wedding of Michael & Perpetua. Hapa dokoa kidogo!

Hongereni sana. Nilikuwa na Backup picha nikaona ngoja niwaonjeshe kidogo.
The Moment
Hakika  Michael na Perpertua 




Duu Michael nimekubali hii suti. Huyu lazima ni Sheria N
Michael akichekelea pingu. Safi sana. Sasa hiyo pingu ije ipotee  ndio utalijua jiji



Hakika Perpertua alilitendea haki gauni lake la Harusi. Safi


Upendo kwa mama
The Girls

The Boys. Hapa Hakuna Konyagi , Tikila na Jaggermaister kweli????!!!

Safi






Bestman na Matron



Mwisho wa kuonjesha. Next week nitawaletea maswagga yote. Chakula ndio kwanza hata hakijaanza kupikwa

Erastus Bag Party. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!


Safi sana Kaka Erastus Komba

Upendo kwa kaka's

Hakika Mlitokelezea. Safi sana. Dah na mimi natafuta hizo pamba



Nice


Upendo kwa Wazazi

Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more