GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, April 29, 2011

Bi Harusi Mtarajiwa Happy Nduguru alivyo agwa na ndugu jama na marafiki ! Nawaonjesha kidogo tu jinsi mambo yalivyojiri.

Bi Harusi mtarajiwa Happy. Akitowa swagga linalofanana na jina lake. Hakika she is happy na alipendeza sana.
Sendoff party ilifanyika katika ukumbi wa Kiramuu-Mbezi. Kama Kawaida nilifunga mobile Studio kwa jili ya picha
Safi sana





Nice

Bi Harusi akiwa na Matron

Namuona Matron akimuangalia Happy kwa umakini kabisa 



Hakika umependeza

Hakika umelitendea haki hili gauni. Safi sana

Happy akiwa na watoto ambao ni wasimamizi

Matilda Aka Mama Shuhuli naye alikuweko

Matron akitowa Swagga

Safi sana Dada

Matron


Happy aka bi Harusi Mtarajiwa





Wasimamizi wa bi Happy Safi sana

Hakika Mmependeza

Safi sana

Bi harusi akiwa na wasimamizi


Safi

Nice

Nimekubali hili Swagga

Safi








Hakika wapambaji wameutundea haki ukumbi

Mandhari ya ukumbi safi sana

Ukumbini

Wasimamizi wakiingia ukumbini

Mambo ya shampeni!

Mume mtarajiwa akiwa kapozi.

Happy akikata keki yake. Safi sana

Thursday, April 28, 2011

Mwache Mwarabu aitwe Mwarabu kweli jama wanatisha!

Dah hi nimoja ya supermarket iko nje kidogo ya jiji la Dubai. Magari niliyoyaona yamepaki nje kweli nilistuka. Ingekuwa bongo basi lazima ungesema labda uko nje ya jengo la bunge! Yani ni 4 X 4

Duh sasa hapa kama unakiCorola chako siunapaki mbali kabisa


Nimekubali

Hii ni Nissan New Model kweli inatisha
Nimekubali


Nami nikaona japo nipate kaukumbusho na kutowa kaswagga!

Dar Nissan New model 2011 simchezo. kama kawa najuwa yataanza kumiminika bongo kwafujo. Kweli naona Nissan imefunika Toyota LandCruza V8 ya 2010. Kama kwenye picha unavyoona lina katiza jangwani!