Marwa na Isabella. Hakika walipendeza sana. Mwenye macho haambiwi tazama! |
Nice |
Nimekubali haya maswagga |
Safi |
Hakika Isabella umelitendea haki gauni |
Marwa aka Mume wa Isabella |
Si Mchezo. Mke wa Marwa |
Love |
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao. Bestman na Matron |
Best Man na Matron |
Nimekubali mambo ya sikuhizi. sio lazima tuvae suti nyeusi. Safi sana Marwa na Best man hakika umeitendea haki suti |
Safi sana |
Safi sana |
Janami mwisho wa kunuku |