![]() |
Kisura wetu Kipuyonde akitowa swagga. Visura ndio kwanza wameanza kambi na bado hawajafundiswa jinsi ya kutembea mwendo wa paka |
![]() |
Visura wakitowa swagga la pamoja |
![]() |
Kama kawa kipuyonde kaja na kasi ya ajabu. Kweli kapania kuwa mshindi |
![]() |
Walinzi wa Kipuyonde wakiwa makini kabisa. Hakuna mwanaume anaruhusiwa kumsogelea. Ukisogea unakula Sime |
![]() |
Safi sana utazani wanajeshi jinsi walivyojipanga. Kweli mwaka huu kazi ipo kwenye huu mchakato |
![]() |
Stage ilivyosetiwa. Nasisi tulifunga reli |
![]() |
Taa Tulizofunga |
![]() |
Camera. |
![]() |
Kijana wangu Hamidu akiwa na presenter wakiwahoji wageni waalikwa |
![]() |
Nikimpa maelekezo Film Director wangu Nago |
![]() |
Umenielewa! Ndio |
![]() |
Vijana wangu wakiwa kazini. Mkusa, Lusubilo na Hamidu |
![]() |
Director akiwa kazini |
![]() |
Visura wakipata vimiminika |
![]() |
Kipuyonde akimueleza mwenzake yani kwahiyo kutembea hivyo ndio kazi. Kule kwetu tunatembea umbali mrefu wakati tunachunga ng'ombe |
![]() |
Wageni waalikwa |
![]() |
Kikosi kamili kinachotuletea huu mchakato wa kisura |
![]() |
Dada Juliana akiwashukuru wageni waalikwa pamoja na Sponsers wa kisura. |
![]() |
Mmoja wa wazamini wakuu wakisura mzee wa FHI akimhoji kisura. |
![]() |
Mtaalamu wetu wa urembo naye alikuweko |
![]() |
Visura walianza kutowa swagga mmoja mmoja. Ila hapa bado hawajafundishwa jinsi ya kutowa swagga. |
![]() |
Simchezo |
![]() |
Duu nimekubali. kidogo Niangushe camera. Safi sana dada |
![]() |
Safi sana naona hizi ni swagga mpya kabisa za 2011 |
![]() |
Mshindi wa kisura mwaka jana Diana akiwaongoza visura wa mwaka huu. |
![]() |
Kijana wangu Mkusa Aka Paster Firi naye alitowa swagga |