GRM Production
Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production
Friday, December 31, 2010
Thursday, December 30, 2010
Kazi ya Kusaka Visura inaendelea kwa kasi. Nasafari hii vijana waliingia Musoma. Hivi ndivyo mambo yalivyo Jiri.
Presenter akimuhoji maswali kisura |
Namuona jaji kushoto akiwaangalia visura kabla hajaanza kuwapima urefu. Dah mbona kawapita urefu watapita kweli? |
Visura wakifanyiwa Usaili. Kama nilivyo sema hapa hakuna kuchakachua kama wewe nimfupi haupiti. |
Kisura akitowa swagga |
Kweli musoma mnatisha safi sana. |
Visura wakipozi pamoja. Yani ukiwaweka kambini na kuwapa somo kidogo watatisha. |
Safi dada. |
Jiachie kimusoma |
Nice. Hata flavian Matata alitokea kwenye kisura. Dada jitaidi utafika |
Namuona jaji uvumilivu ukamshinda nae akatoa swagga. |
Naona jaji akimfundisha pozi kisura |
Kisura akatoa swagga. |
He nahuyu kajitokezaa? mmempima urefu na paja? |
Presenter akifanya mahojiano na kisura |
Visura wakitandika Mirinda. Hawa Bado kujua mambo ya savana, sijui white wine? ni soda tuu! |
Nipe swagga dada |
Safi |
Nimependa tishert yako ilivyo andikwa. Miss Popular. Safi sana dada hakika iko siku ndoto zako zitatimia |
Timu ya kisura nayo ilitowa swagga |
Swagga la kimirinda |
Majaji wakitafakari kwa umakini |
Kisura akipozi |
Nakupa tano dada |
Nimekubali |
Kijana wangu Hamidu akiwa makini kurekodi kipindi. Hapa walikuwa wanahitimisha safari ya Musoma. Hivi vipindi vitaanza kuruka TBC |
Timu ya kisura ilialikwa chakula cha jioni. Namuona Director Nago Akikamata msosi. |
Subscribe to:
Posts (Atom)