GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, November 30, 2010

The Making of Kisura Teaser. Breaking News wadau Kupitia Blog hi mtapata habari kuhusu yatakayo jiri kwenye kisura 2010/11. GRM Production ni mmoja wa sponsor wa kisura na pia ndio tunafanya production zima ya kisura ambayo itakuwa inaonyeshwa TBC1.

Vijana wakiwa kazini kutengeneza tangazo la kisura 

Hapa namuona Editor/Director Ford akitowa maelekezo

Director Nago akiwa anatafakari 


Kisura akiwa kwenye runway katika studio ya GRM

Kama mnavyojuwa hakuna tangazo litarekodiwa bila watu kufanyiwa makeup kidogo


Hi ni Track mpya niliyo nunua au Reli kwa ajili ya kufanyia kazi. 

Hizi taa hazili umeme kabisa na wala hazileti joto

Noeli akirekebisha taa. Hi ni UV-light. nayo haina joto

Huu Ubunifu nimeukubali. Ni mambo ya Hoteli ya Kilima Kiaroo Moshi

Hii ni nyara ya Serikali. Lakini hawa wanakibali cha kuimiliki. Nasikia ni bora ukutwe na bangi kuliko hii

Huyu ni tembo wa kutengeneza. kweli wabongo tukiamuwa tunaweza



Nilikuwa sijuwi kama nyara zakikaa ukutani zinapendeza hivi.

Si mchezo

Friday, November 26, 2010

Kwa muda mrefu mmekuwa mkinitumia emails mkiniomba japo nionyeshe kazi za harusi tunazofanya. Basi nilikuwa nawaambi mpaka nikiongea na wateja wetu wakikubali nami nitaanza kuzirusha. Leo nawaletea Jackob and Petronila Weeding Pix. Kweli hii harusi ilifana sana.

Jackob na wife



Best man na wife. Huwa inapendeza sana kama ukikuta wasimamizi ni mtu na mke wake




Dah dogo anajuwa swaga


Kweli wamependeza


Kweli hawa wameutendea haki ukumbi wa dimond VIP

Kweli ukumbi ulipendeza sana

High Table

Kabla ya kuingia ukumbini unakaribishwa na Red Carpet

Kijana wangu mwingine wa kazi Godi. Huyu ni mpiga picha za mnato

Nikiwa na timu  baada ya kumaliza kazi

Thursday, November 25, 2010

Wednesday, November 24, 2010

Madam Ritta ndani ya Wanawake Live katika studio za Grm na Joyse Kiria

Madam na Host Mwenyewe

Madam na Joyse

Dah vijana waliacha kushika kamere wakaomba japo picha na Madam.

Dah kweli mambo yalikuwa si mchezo sasa nani anashika kamera?

He pasta nawewe pia. kweli vijana walifurahi sana kumuona madam

Wageni wakiendelea kuhojiwa na Joyse

Host mwenyewe Joyse Kiria.

Baada ya picha vijana wakarudi kazini.